Barikiwa na wimbo huu wa muimbaji mkongwe na nyimbo za injili tokea nchini Kenya, Sara K.
Sunday, October 12, 2014
Karibu kwenye blog hii mpya
Hii ni njia mojawapo ya kukuletea wewe mpendwa habari za kuhusu muziki wa injili duniani, hususani ncini kwetu Tanzania na nchi za jirani. Kama una habari zozote ambazo ungependa tuwe tunazipost, wasiliana nasi kwa E-mail hwanamuzikiwainjili@gmail.com
Pichani, ni muimbaji Lilian Mariki anayefanya shughuli zake za muziki wa injili jijini Dar Es Salaam. Lilian Mariki, nyimbo zake nyingi ziko katika miondoko ya R&B na baadhi sebene, na miondoka ya Ki Afrika ya Kusini.
Kirk Franklin.
Kirk Franklin ni muimbaji mkongwe anayeishi nchini USA ambaye anaheshimika duniani, na hasa kwa vijana kutokana na style yake ambayo inawapendeza sana na kuwavutia. Muimbaji huyu anatambulika kama muimbaji wa muziki wa injili aishiye mwenye kipato cha juu kuliko wote duniani kwa sasa.
Kirk Franklin ameshinda tuzo nyingi sana nchini Marekani, na hata nje ya nchi, na amefanya kazi yake na waimbaji wengi sana kwenye nyimbo zake.
ii:
Subscribe to:
Posts (Atom)